CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Kwa njia ya kienyeji huwa wanayarudisha kwa mwiko...
Mkuu Luno G yanagongwa au yanagusishwa mwiko???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa njia ya kienyeji huwa wanayarudisha kwa mwiko...
Ayarudishe na kidole gumba...kila siku asubuhi na jioni na amsugue mtoto na majivu sehe ya chini ili hayo ya chini yaoteMsaada wenu tafadhali, mwanangu ameanza kuota meno ya juu badala ya chini, mama yake amekuwa mtu wa wasiwasi kila mara, majirani pia wamekuwa wanamtisha bila kumwambia sababu nini?
Nijuzeni please.
Mbona unanitisha tena maana mke wangu ni wa kanda ya ziwa na mwanangu wa pili kaanza kuota meno ya chini. Naomba kwa faida ya wanajamii uweke hiyo issue humu humu.Inaweza kuwa ni kwa sababu tayari umechagua watu wako watatu ambao ungependa wachangie kwenye hiyo thread yako. Hata hivyo, bila kumumunya maneno, kitendo hicho kwa baadhi ya makabila ya Kanda ya Ziwa ni Taboo. Hata hivyo, ucjali kama hautokei eneo hilo, haina shida, kama unatokea eneo hilo usiwaeleze home, keep it closed within you family doors, for more info, pm me.