Mwanangu pia ana tatizo hilo ulipata dawaNaombeni kuelimishwa,mtoto wa chini ya mwezi mmoja kucheua maziwa na mengine kutokea puani inaweza kusababishwa na nini?Je ni hali ya kawaida au ni tatizo kubwa?
Mina jisifu au? Fuateni ushauri wa commen no 2 hapo juu.Hata mimi pia mtoto wangu huwa anacheu hadi kwa pua
Imebidi nisome tena.ahaaaMina jisifu au? Fuateni ushauri wa commen no 2 hapo juu.