Field Marshal
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 414
- 280
Uko sahihi sikuliona hilo. Kuna mambo mengi sana yanatokea ndani ya masaa 12 ya kuzaliwa mtoto.Mtu kajifungua saa 10 saa 1 kashafika nyumbani na kulala sio sahihi..
Ila pole mkuu
hili ndilo la kwanza la kuwazaYawezekana alimziba pumuzi mtoto kutokana na usingizi mzito wa mama Mzazi.
Pengine mtoto alilazwa vibaya.
Sababu ziko nyingi.
Angalia rangi ya mtoto ikoje kwanza.