chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,522
- 2,651
Mpaka imefika miezi 9 ni lazima atakuwa anajua mtoto anacheza akila chakula gani, akisikia sauti gani au mziki gani.Habari wakuu polen na majukumu rejea kichwa cha habari halo juu shemeji yenu anaujauzito wa miezi 9 sasa ila toka Jana jion anasema mtoto kagoma kucheza tumboni hii ni dalili ya nini wakuu naomben msaada wa mawazo.
Asante doctor yaan hapa sijielewi kabsa ngoja kesho nimuwahishe hospitalMpaka imefika miezi 9 ni lazima atakuwa anajua mtoto anacheza akila chakula gani, akisikia sauti gani au mziki gani.
Kama hakuna reaction kwa vitu hivyo, wahi hospitali muone gynaecologist.
Sio gynaecologist bali ni obstetricianMpaka imefika miezi 9 ni lazima atakuwa anajua mtoto anacheza akila chakula gani, akisikia sauti gani au mziki gani.
Kama hakuna reaction kwa vitu hivyo, wahi hospitali muone gynaecologist.
Usisubir kesho....mpeleke Leo.....yaan saiv.....Mpaka imefika miezi 9 ni lazima atakuwa anajua mtoto anacheza akila chakula gani, akisikia sauti gani au mziki gani.
Kama hakuna reaction kwa vitu hivyo, wahi hospitali muone gynaecologist.
Habari wakuu polen na majukumu rejea kichwa cha habari halo juu shemeji yenu anaujauzito wa miezi 9 sasa ila toka Jana jion anasema mtoto kagoma kucheza tumboni hii ni dalili ya nini wakuu naomben msaada wa mawazo.
Sawa mkuu ntaleta mrejeshoWahi hospitali Mkuu ili kuhakikisha kiumbe mtarajiwa bado yuko hai. Usisahau mrejesho.
Asee ni kweli kbsa mkuu yaan utafikiri uliniona Jana nlimuudhiNi mtoto wa ngapi huyo?? Nadhani kesho J3 mpeleke hospital mkiwa na begi lenye nguo za kumbebea mtoto. Kama mama hana maumivu yeyote nadhani ulimuudhi shemeji
Sawa mkuu ntaleta mrejesho
Ni mtoto wa kwanza mkuu na ni kweli hana maumivu yeyoteNi mtoto wa ngapi huyo?? Nadhani kesho J3 mpeleke hospital mkiwa na begi lenye nguo za kumbebea mtoto. Kama mama hana maumivu yeyote nadhani ulimuudhi shemeji
Mkuu wahini sasa hivi Hospitali,asee mimi wife ilimkumba hali hiyo hiyo tena miezi tisa kabisa, tukapoteza jembe..maana mtoto alitoka hana uhai tena..ni kitu cha miezi miwili imepita,imeniuma sana siwezi kueleza.Habari wakuu polen na majukumu rejea kichwa cha habari halo juu shemeji yenu anaujauzito wa miezi 9 sasa ila toka Jana jion anasema mtoto kagoma kucheza tumboni hii ni dalili ya nini wakuu naomben msaada wa mawazo.
Jitahidi ujielewe kwanza kabla hujaenda Hospital maana unaweza kwenda kutoa maelezo tofauti na tatizoAsante doctor yaan hapa sijielewi kabsa ngoja kesho nimuwahishe hospital
Pole sana mkuu na huyu ni wa kiume pia roho yangu haituliiMkuu wahini sasa hivi Hospitali,asee mimi wife ilimkumba hali hiyo hiyo tena miezi tisa kabisa, tukapoteza jembe..maana mtoto alitoka hana uhai tena..ni kitu cha miezi miwili imepita,imeniuma sana siwezi kueleza.
Pole sanaMkuu wahini sasa hivi Hospitali,asee mimi wife ilimkumba hali hiyo hiyo tena miezi tisa kabisa, tukapoteza jembe..maana mtoto alitoka hana uhai tena..ni kitu cha miezi miwili imepita,imeniuma sana siwezi kueleza.
Sawa mkuu ,nashukuru Sana.Jitahidi ujielewe kwanza kabla hujaenda Hospital maana unaweza kwenda kutoa maelezo tofauti na tatizo
Wote akiwaona sio mbaya piaSio gynaecologist bali ni obstetrician
pole mkuuMkuu wahini sasa hivi Hospitali,asee mimi wife ilimkumba hali hiyo hiyo tena miezi tisa kabisa, tukapoteza jembe..maana mtoto alitoka hana uhai tena..ni kitu cha miezi miwili imepita,imeniuma sana siwezi kueleza.
Mkuu wahini sasa hivi Hospitali,asee mimi wife ilimkumba hali hiyo hiyo tena miezi tisa kabisa, tukapoteza jembe..maana mtoto alitoka hana uhai tena..ni kitu cha miezi miwili imepita,imeniuma sana siwezi kueleza.
Asante sana.Pole sana