Mtoto kugoma kucheza tumboni

Mtoto kugoma kucheza tumboni

chlorine gas

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
2,522
Reaction score
2,651
Habari wakuu polen na majukumu rejea kichwa cha habari halo juu shemeji yenu anaujauzito wa miezi 9 sasa ila toka Jana jion anasema mtoto kagoma kucheza tumboni hii ni dalili ya nini wakuu naomben msaada wa mawazo.
 
Mpaka imefika miezi 9 ni lazima atakuwa anajua mtoto anacheza akila chakula gani, akisikia sauti gani au mziki gani.

Kama hakuna reaction kwa vitu hivyo, wahi hospitali muone gynaecologist.
 
Asante doctor yaan hapa sijielewi kabsa ngoja kesho nimuwahishe hospital
 
Ni mtoto wa ngapi huyo?? Nadhani kesho J3 mpeleke hospital mkiwa na begi lenye nguo za kumbebea mtoto. Kama mama hana maumivu yeyote nadhani ulimuudhi shemeji
 
Wahi hospitali Mkuu ili kuhakikisha kiumbe mtarajiwa bado yuko hai. Usisahau mrejesho.

Habari wakuu polen na majukumu rejea kichwa cha habari halo juu shemeji yenu anaujauzito wa miezi 9 sasa ila toka Jana jion anasema mtoto kagoma kucheza tumboni hii ni dalili ya nini wakuu naomben msaada wa mawazo.
 
Ni mtoto wa ngapi huyo?? Nadhani kesho J3 mpeleke hospital mkiwa na begi lenye nguo za kumbebea mtoto. Kama mama hana maumivu yeyote nadhani ulimuudhi shemeji
Ni mtoto wa kwanza mkuu na ni kweli hana maumivu yeyote
 
Habari wakuu polen na majukumu rejea kichwa cha habari halo juu shemeji yenu anaujauzito wa miezi 9 sasa ila toka Jana jion anasema mtoto kagoma kucheza tumboni hii ni dalili ya nini wakuu naomben msaada wa mawazo.
Mkuu wahini sasa hivi Hospitali,asee mimi wife ilimkumba hali hiyo hiyo tena miezi tisa kabisa, tukapoteza jembe..maana mtoto alitoka hana uhai tena..ni kitu cha miezi miwili imepita,imeniuma sana siwezi kueleza.
 
Pole sana mkuu na huyu ni wa kiume pia roho yangu haitulii
 
Mkuu wahini sasa hivi Hospitali,asee mimi wife ilimkumba hali hiyo hiyo tena miezi tisa kabisa, tukapoteza jembe..maana mtoto alitoka hana uhai tena..ni kitu cha miezi miwili imepita,imeniuma sana siwezi kueleza.
Pole sana
 
pole mkuu
 
Pole sana Mkuu. Mtoto kama alikuwa ana kawaida ya kuwa very active tumboni ghafla anakuwa kimya si dalili nzuri na kitu cha kwanza kufanya ni kuwahi hospitali.

Back
Top Bottom