Mtoto kuharisha na kutapika kila siku alfajiri.

EdwardC8

Senior Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
181
Reaction score
259
Wanabodi,

Mtoto wa shemeji yenu amekuwa anaharisha au kuharisha na kutapika kwa mpigo kila usiku wa manane au alfajiri. Mchana anashinda salama tu, anakula, anacheza, hadi muda wa kulala...ila ikifika usiku wa manane hasa kuelekea alfajiri anakinukisha kidizaini hiyo. Ni dalili za ugonjwa gani na tiba ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…