Mtoto kukakamaa

MRS JUMA

Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
11
Reaction score
3
habar zenu wapendwa, naomba kuuliza mtoto wangu kuna jinsi ananyoosha miguu kwa kuikakamaza na answet anafanya ivo kwa sekunde chache na kuacha sasa imechukua almost 2 years, kapewa dawa za degedege kwa mwezi mzima lakni hakuna mabadiliko dawa zenyewe ni (carbamazepine)
 
mwaya nilishamuona ndo wanaompa hizi carbazepine na pia alipimwa CT scan, EEG wakasema yuko sawa ndo wakasema wamwanzishie tu kwanza hizi dawa za degedege waone kama iyo hali itaisha lakin ndo ivyo sasa kashameza carbamazepine mwezi mzima bila mafanikio
 
'Mtwange' dozi ya vitamin B complex. Kidonge kimoja asubuhi na kimoja jioni kwa mda wa miezi mitatu mfululizo. Pia mpe maji ya kunywa ya kisimani (hard water) yale ambayo hayashiki sabuni, ili apate madini muhimu kama Calcium na Magnesium.
Kwa dozi hii asipopona, ujue karogwa huyo.
 
Madaktari wengi ni vilaza linapokuja swala la Neurological problems. Serikali inabidi itilie sana mkazo kwenye eneo hili.
 
Muone paediatric Neurologist akupe ushauri na vipi ni vinavyofaa.
mwaya nilishamuona ndo wanaompa hizi carbazepine na pia alipimwa CT scan, EEG wakasema yuko sawa ndo wakasema wamwanzishie tu kwanza hizi dawa za degedege waone kama iyo hali itaisha lakin ndo ivyo sasa kashameza carbamazepine mwezi mzima bila mafanikio
 
Dawa za mfumo wa fahamu huchukua muda mrefu kuonyesha matokeo. Usiache kupata ushauri wa watalaamu.
 
Madaktari wengi ni vilaza linapokuja swala la Neurological problems. Serikali inabidi itilie sana mkazo kwenye eneo hili.
h alipewa pia Neurotone si nayo ndo hizo vitamin pia
 
sawa iyo kidonge kimoja ni kwa umri wowote? maana ana miaka minne (4)
Yep! Vitamins hazinaga overdosage. Mwili ukiridhika na mahitaji yake, the rest goes into urine to make 'an expensive urine'.
By the way, vitamins sio dawa. Ni nutrients. Baadhi ya watu huwa na uwezo mdogo wa ku absorb vitamins from small intestine due to genetic make up, so hutokea kuwa na upungufu.
 
Pia kama unaamini MPELEKE kwenye maombi haraka. Huku dawa huku maombi.
 
sawa shukran na ubarikiwe na mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…