gileun
Member
- Nov 8, 2017
- 85
- 74
- Thread starter
- #21
Kwenye kununiana hapa nimecheka cuz seriously mnacharukiana kabisa yan...ila ndo hamuezi muacha mtoto bila kuhangaika,hahaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha acha kabisa hadi mnanuniana na wife maana hanyonyi ni kulia tu wife anabembeleza anachoka ananipa narukaruka namrudishia mnamuweka kitandani analiaa mnaanza tena mpaka sa10 ndio analala
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app