Jimmy Romio
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 367
- 278
Huyo mtoto ni wake kabisa au?
Atakuja tu ngoja amalizie kuosha vyomboMshana Jr popote ulipo nakuomba uje huku
Kwani hao wengine wooote wanao mpakata anazifahamu harufu zao?Sababu ni nyingi, ila mi nadhani hajazoea hafuru yake, watoto wadogo wanatambua watu wa kwao kwa harufu zao
Kwani hao wengine wooote wanao mpakata anazifahamu harufu zao?
Nimekuelewa mkuuNdio maana nikasema sababu ni nyingi, niliyosema mimi ni mojawapo tu,
Nimekuelewa mkuu