Mtoto Kulia

Mtoto Kulia

Jimmy Romio

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
367
Reaction score
278
Habari Wadau

Kuna ndugu yangu huwa akimshika mtoto (pakata) huwa mtoto analia sana kama vile kafinywa. Mtoto ana umri wa miezi miwili. Lakini akipakatwa na mtu mwingine anatulia. Wajuzi wa maswala ya watoto hii hali inasababishwa na nini?

Asante
 
Sababu ni nyingi, ila mi nadhani hajazoea hafuru yake, watoto wadogo wanatambua watu wa kwao kwa harufu zao
 
Sababu ni nyingi, ila mi nadhani hajazoea hafuru yake, watoto wadogo wanatambua watu wa kwao kwa harufu zao
Kwani hao wengine wooote wanao mpakata anazifahamu harufu zao?
 
  • Thanks
Reactions: sab
Back
Top Bottom