Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
- Thread starter
- #21
Mambo ya Oral Fixation hayo kutoka kwa Sigmund..
Can you explain a little bit more please?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya Oral Fixation hayo kutoka kwa Sigmund..
Binti angu ana miaka 3.2 tatizo ni kunyonya kidole mpk kinaweka kidonda. Je ni tatizo la setting ya ubongo (aliwekewa kidole mdomoni na nurse just after birth). Hata umkataze vip kuna time ataweka tu imekua kama conditioned reflex action. Huu unyonyaji waweza sababisha hata dentition disformation
Nimejaribu kutumia thumb guard lakini naona its too artificial na haimpi freedom kucheza. What is the best approach towards similar case?
mbona hayo ni mambo ya kawaida au siku hizi yamekuwa mengine. kunyonya kidole ni kawaida tu kwa watoto, wakikua wanaacha wenyewe. Tena kila mtoto ana staili yake ya kunyonya kidole, akinyonya kidole anaweza kujikuna pua, wengine sikio, alimradi tu, nilisoma shule na jamaa akinyonya kidole gumba kidole kingine anaingiza puani anachokonoa! sijui alishaacha..
Binti angu ana miaka 3.2 tatizo ni kunyonya kidole mpk kinaweka kidonda. Je ni tatizo la setting ya ubongo (aliwekewa kidole mdomoni na nurse just after birth). Hata umkataze vip kuna time ataweka tu imekua kama conditioned reflex action. Huu unyonyaji waweza sababisha hata dentition disformation
Nimejaribu kutumia thumb guard lakini naona its too artificial na haimpi freedom kucheza. What is the best approach towards similar case?
Binti angu ana miaka 3.2 tatizo ni kunyonya kidole mpk kinaweka kidonda. Je ni tatizo la setting ya ubongo (aliwekewa kidole mdomoni na nurse just after birth). Hata umkataze vip kuna time ataweka tu imekua kama conditioned reflex action. Huu unyonyaji waweza sababisha hata dentition disformation
Nimejaribu kutumia thumb guard lakini naona its too artificial na haimpi freedom kucheza. What is the best approach towards similar case?
Mtoto kunyonya kidole ni sehemu muhimu sana ya makuzi. Si kawaida mtoto kuzaliwa na kukua bila kupitia hatua hiyo. Mimi ni mtaaluma wa maswala ya watoto hasa makuzi ya awali yani early child development. Hatua hiyo humsaidia kum comfort mtoto au ku deal na stress pale anapopata tatizo mara nyingi hunyonya kidole. Sijafahamu sana kama ikichukua muda mrefu kuna madhara. Nitachimba zaidi. Ila nawaahidi kesho kuwashushia taarifa zote za msingi na mtastaajabu uumbaji wa Mungu. Kwa elimu juu ya malezi ya mtoto mchanga na jinsi ya kumbumba mtoto vile utakavyo awe maishani (moulding) tuwasiliane kwa PM. Je, wajua Praise and Ignore Theory? Hii ni muhimu sana ktk parenting. Mtoto anapaswa kusifiwa anapofanya mazuri na anapaswa kupuuzwa anapofanya mabaya ili ajue hujapenda na inasaidia ku discourage bad behavior within a child. Nitawaletea uzi maalumu kwa ajili ya hili pia.
Baba mmoja mwanae alikua na tatzo kama hlo akaamua kumdanganya kua akinyonya kidole tumbo litakua kubwaa na siku moja linaweza pasuka mtoto akaamin na ile tabia akaacha sababu ya uoga, kimbembe kikaja siku moja kwao kaja mama mjamzito na tumbo kubwa kwelikwel mtoto kuona akaanza kuruka ruka na kushangilia kuwa anajua kwa nini tumbo limekua kubwa huku akishangilia na kuruka ruka kila akimwangalia yule mama anamwambia najua ndo mana tumbo lako limekua kubwa si umenyonya.! Yule mama kusikia hvyo nusura azimie

Mkuu uko deep sana, nitaku-pm kwa ajili ya maelekezo ya ziada. Hayo yote mi siyajui najua tu kawaida ila sijasoma sehemu wala kusikia zaid ya kuona comment yako

[o Huwasaidia watoto wenyewe kujisikia vizuri