Mtoto kupata upungufu wa damu mara kwa mara

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
605
Wana JF naombeni msaada km mtu anauelewa wa hili jambo.mtoto wangu anaonekana kupungukiwa damu mara kwa mara.kuna dawa walinipatia nikawa nampa lkn haijamsaidia.nimetumia kumpatia matunda na juice nayo haijamsaidia je tatizo inaweza kuwa nini .na je km mtu anajua dawa labda ya kienyeji anisaidie ili imsaidie mwanangu.Aksanteni
 
mtoto ana umri wa mwaka mmoja na nusu@sky Eclat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…