OME123
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,497
- 605
Wana JF naombeni msaada km mtu anauelewa wa hili jambo.mtoto wangu anaonekana kupungukiwa damu mara kwa mara.kuna dawa walinipatia nikawa nampa lkn haijamsaidia.nimetumia kumpatia matunda na juice nayo haijamsaidia je tatizo inaweza kuwa nini .na je km mtu anajua dawa labda ya kienyeji anisaidie ili imsaidie mwanangu.Aksanteni