Mtoto kutambaa

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
2,399
Reaction score
1,014
Hivi waungwana mtoto ni lazima atambae ndo atembee kuna mbidada hapa ananisumbua kweli si wajua ukiwa umesoma kidogo. Mtoto mwaka mmoja hatambai wala kutembea kuna nini hapa?
 
Hivi waungwana mtoto ni lazima atambae ndo atembee kuna mbidada hapa ananisumbua kweli si wajua ukiwa umesoma kidogo. Mtoto mwaka mmoja hatambai wala kutembea kuna nini hapa?

Kutambaa si lazima kwani wapo ambao huiruka hiyo steji.
 
Si lazima, wangu alianza kutembea miezi 16. Kutambaa si lazima. Huyo mtoto ni mnene sana? ana dalili zingine zinazokupa hofu?
 
......kuna watoto wengine hawatambai, kama wangu mmojawapo. Alianza kusimamia vitu na kutembea kushikilia vitu......miezi 13 akaanza kutembea.

Je huyo wako anasimama dede na kushikilia vitu? Kama yupo mwaka 1 anatakiwa awe stage hiyo.
 
Wapo wengine ambao huanza kutembea wakiwa na miezi 6-7.

Mimi ilinibidi niwahi kwa pediatrician kumwuliza kama hiyo ni kawaida au la maana huyu bibie wangu alianza akiwa na miezi 6.

Is it possible for a baby to walk at 5-6 months?
 
Wangu wa kike alitambaa akiwa na miezi 6 na kutembea akiwa na miezi 8... pia naskia mtoto kuchelewa kutembea au kutambaa hutokana na sababu za 'kubemendwa'.. sijui kama kuna ukweli hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…