Mtoto kutambaa

Mtoto kutambaa

Mtoto akiwa mnene anachelewa kidogo kutambaa na kutembea na wengine huwa wanaruka kabisa stage ya kutambaa, ila inatakiwa akiwa na kuanzia miezi 11 na kuendelea kwa wa kiume, awe anasimamia vitu na kusimama dede, ni normal kabisa! Punguzeni kujamiiana na hata pale mnaposhikwa sana, mwanaume anatakiwa afanye ile kitu inaitwa coitus interruptus, yaani akikaribia ejaculation anachomoa na kumalizia nje! Malezi yana changamoto sana!
 
HV kama mtoto kachelewa kutembea unafanyaje?
Wawekeni watoto chini musiwabebe kama mizigo muda wotee
Wafanyisheni mazoezi ya ya kutambaa wa kwangu miezi nane anatembea ametambaa five months, kusimama mwezi wa saba wa nane anatembea
 
Mtoto akiwa mnene anachelewa kidogo kutambaa na kutembea na wengine huwa wanaruka kabisa stage ya kutambaa, ila inatakiwa akiwa na kuanzia miezi 11 na kuendelea kwa wa kiume, awe anasimamia vitu na kusimama dede, ni normal kabisa! Punguzeni kujamiiana na hata pale mnaposhikwa sana, mwanaume anatakiwa afanye ile kitu inaitwa coitus interruptus, yaani akikaribia ejaculation anachomoa na kumalizia nje! Malezi yana changamoto sana!
Nakula mzigo kila nikiitaji na sasa yuko miezi Tisa kaanza kutembea ijumaa iliopita wa kiume ni matunzo tu na kumwacha ajichanganye na wenzake
 
Back
Top Bottom