Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Mtoto atambae wa nini na baridi hii? Abebwe tu apate raha .[emoji15] [emoji15] [emoji15]
M nataman Leo keshoMtoto atambae wa nini na baridi hii? Abebwe tu apate raha .
AhahaaaM nataman Leo kesho
Wawekeni watoto chini musiwabebe kama mizigo muda woteeHV kama mtoto kachelewa kutembea unafanyaje?
Sasa mwanao umemfaidi kweli?Wawekeni watoto chini musiwabebe kama mizigo muda wotee
Wafanyisheni mazoezi ya ya kutambaa wa kwangu miezi nane anatembea ametambaa five months, kusimama mwezi wa saba wa nane anatembea
Mazoezi ya kutambaa yapWawekeni watoto chini musiwabebe kama mizigo muda wotee
Wafanyisheni mazoezi ya ya kutambaa wa kwangu miezi nane anatembea ametambaa five months, kusimama mwezi wa saba wa nane anatembea
Nakula mzigo kila nikiitaji na sasa yuko miezi Tisa kaanza kutembea ijumaa iliopita wa kiume ni matunzo tu na kumwacha ajichanganye na wenzakeMtoto akiwa mnene anachelewa kidogo kutambaa na kutembea na wengine huwa wanaruka kabisa stage ya kutambaa, ila inatakiwa akiwa na kuanzia miezi 11 na kuendelea kwa wa kiume, awe anasimamia vitu na kusimama dede, ni normal kabisa! Punguzeni kujamiiana na hata pale mnaposhikwa sana, mwanaume anatakiwa afanye ile kitu inaitwa coitus interruptus, yaani akikaribia ejaculation anachomoa na kumalizia nje! Malezi yana changamoto sana!