T Tour De France JF-Expert Member Joined Jun 12, 2014 Posts 345 Reaction score 335 Aug 30, 2014 #1 Mtoto ana homa nimempa panadol lkn baada ya dakika kama moja ametapika. vipi natakiwa kumpa tena dawa au kwa kipindi cha dakika hizo dawa inakua tayari imeanza kutumika mwilini haina haja ya kumpa tena?
Mtoto ana homa nimempa panadol lkn baada ya dakika kama moja ametapika. vipi natakiwa kumpa tena dawa au kwa kipindi cha dakika hizo dawa inakua tayari imeanza kutumika mwilini haina haja ya kumpa tena?
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,683 Aug 31, 2014 #2 Unatakiwa umpe dozi nyingine ya dawa!
T Tour De France JF-Expert Member Joined Jun 12, 2014 Posts 345 Reaction score 335 Aug 31, 2014 Thread starter #3 gorgeousmimi said: Unatakiwa umpe dozi nyingine ya dawa! Click to expand... Shukrani