Tour De France
JF-Expert Member
- Jun 12, 2014
- 345
- 335
Mtoto ana homa nimempa panadol lkn baada ya dakika kama moja ametapika. vipi natakiwa kumpa tena dawa au kwa kipindi cha dakika hizo dawa inakua tayari imeanza kutumika mwilini haina haja ya kumpa tena?