Mtoto kutetemeka miguu

mbogyo

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
231
Reaction score
100
Habari zenu wkuu!

Jamani mimi na mke wangu tumebahatika kupata mtoto wa kiume tarehe 5 ya mwezi wa pili mwaka huu ambapo mpaka sasa anatimiza mwezi mmoja.

Tatizo tuliloanza kuliona kwa siku 4 sasa ni la mtoto kutetemeka miguu kwa muda kisha hutulia ila baada ya muda hilo tatizo hujirudia tena.

Kwa hiyo jamani tunaomba kufahamishwa kama hii ni hali ya kawaida au kuna tatizo hapo?
 
Mpeleke Hospitali isijekuwa ni dalili ya maradhi yanataka kumtokea fanya haraka kumpeleka hospitali.
 
nashukuru sana ngoja nifanye hima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…