Mtoto kutokukaza miguu akisimamishwa

Mottoo

Member
Joined
May 23, 2014
Posts
31
Reaction score
4
Poleni na majukumu wana JF, naombeni ushauri nifanye nini, imetokea kwa mtoto wangu wa miezi 8 na kidogo ukimsimamisha hakazi miguu na ukimlazimisha hulia sana.

Inavyoonekana mama yake alikua hamzoeshi kumsimamisha toka miezi ya nyuma.

Je kuna hatari ya kutokusimama na kutotembea ?

Na nifanye nini ili kuepusha hiyo kitu

Poleni na majukumu wana JF, naombeni ushauri nifanye nini, imetokea kwa mtoto wangu wa miezi 8 na kidogo ukimsimamisha hakazi miguu na ukimlazimisha hulia sana.

Inavyoonekana mama yake alikua hamzoeshi kumsimamisha toka miezi ya nyuma.

Je kuna hatari ya kutokusimama na kutotembea ?

Na nifanye nn ili kuepusha hiyo kitu?
 
Atatembea wakati wake ukifika,bado wakati wake wa kutembea!
 
Ukiona kama tatizo linaendelea kuna hospitali ipo mlali wana watibu watoto wa hivyo ila iwe mapema ukianza kua kapitiliza umri wa kusimama na haja simama
 
Mkuu mnunulie baby walker,na waambie nyumbani wakati wote wamuweke kwenye baby walker.Mimi kijana wangu alianza kutembea kwa kushika ukuta na vitu akiwa na miezi 10 kwasababu wakati wote alikuwa anakaa kwenye hiyo baby walker na anatembea nalo hivyo miguu inaanza kukomaa
 
Shukrani mkuu xfactor ngoja nimtaftie io kitu
 
Ukiona kama tatizo linaendelea kuna hospitali ipo mlali wana watibu watoto wa hivyo ila iwe mapema ukianza kua kapitiliza umri wa kusimama na haja simama

mkuu iyo h/tal ya mlali iko mkoa gani
 
Shukrani mkuu xfactor ngoja nimtaftie io kitu
 
nashkuru kwa ushaur kaka lakn hakazi kabsa miguu

Mtoto wangu alikuwa hivyo hivyo mpaka mwaka miguu ilikuwa haijakaza, nikampeleka kwa wataalam wakasema hana shida. ilikuwa hajafikisha muda wake wa kutembea tu. mwezi huu ameanza kutembea na kukimbia hapo hapo. so inaweza ikawa ni jambo la kusubiri lakini tafuta ushauri kwa wataalamu kwanza
 
Ukiona kama tatizo linaendelea kuna hospitali ipo mlali wana watibu watoto wa hivyo ila iwe mapema ukianza kua kapitiliza umri wa kusimama na haja simama

mlali ya wapi mkuu mana ninazo zijua mimi kuna mlali ya dodoma-kongwa na mlali ya morogoro sasa ipi inatakiwa
 
hata mimi h/tal wamesema hana tatizo kaka ngoja nivute subira
 
kaka wakwako ametembea mwaka mmoja na miezi mingap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…