Mtoto kutokukaza miguu akisimamishwa

Mtoto kutokukaza miguu akisimamishwa

Labda watt wanatofautiana. Pengine atachelewa kusimama. Wangu mm ana miezi mitatu ukimshika kumsimamisha anakaza miguu yake.
 
Mtoto wangu alikuwa hivyo hivyo mpaka mwaka miguu ilikuwa haijakaza, nikampeleka kwa wataalam wakasema hana shida. ilikuwa hajafikisha muda wake wa kutembea tu. mwezi huu ameanza kutembea na kukimbia hapo hapo. so inaweza ikawa ni jambo la kusubiri lakini tafuta ushauri kwa wataalamu kwanza
Nashida na wew ulifanikiwa wangu nae ana hiyo changamoto
 
Back
Top Bottom