Mtoto wangu alikuwa hivyo hivyo mpaka mwaka miguu ilikuwa haijakaza, nikampeleka kwa wataalam wakasema hana shida. ilikuwa hajafikisha muda wake wa kutembea tu. mwezi huu ameanza kutembea na kukimbia hapo hapo. so inaweza ikawa ni jambo la kusubiri lakini tafuta ushauri kwa wataalamu kwanza