Mtoto kutokulia

Mtoto kutokulia

BAKOI

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2016
Posts
1,211
Reaction score
2,329
Habari zenu wakuu

Kwa heshima yenu mtoto anapozaliwa asipolia ni nini madhara yake , na pia ni hatua gani za kuchukua kuweza kumsaidia
 
Hyo hali ilinikuta kwa mtoto wangu wa kwanza..ilibd nilazwe akawa anachomwa sindano kila siku kwa muda wa siku nne hivi ...nilipouliza ina madhara gani kwa watoto daktar aknmbia anaweza pata matatizo ya utokwaji damu puani na maskion na vile vile anaweza kuwa slow kwenye ukuaji wake
 
ndo huyo hapo kwenye picha mkuu?
 
Habari zenu wakuu

Kwa heshima yenu mtoto anapozaliwa asipolia ni nini madhara yake , na pia ni hatua gani za kuchukua kuweza kumsaidia
Mie naomba nikushuru kwa recipe yako ilee kuhusiana nawatoto wasikula maana imemsaida saana mwanangu, amefanikiwa kuongezeka ka kilo wakati miezi miwili iliyofuatana clinic alikuwa anashuka kgs
nilichokuwa nafanya ni kumchanganyia tangawizi katika kila mlo wake ukiwepo kumchemshia Samaki /supu pamoja na tangawizi na kisha kuja tumbukiza kama ni ndizi nk.
na kumsaigia juice yenye tangawizi, japo nilishindwa ile kutumia ile kumcheshia kwenye maziwa sababu anatumia mawaziwa ya kopo nilichokuwa nafanya kuchemsha maji na tangawizi ndo hayo namkorogea nayo maziwa
 
Back
Top Bottom