Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo huyo hapo kwenye picha mkuu?Hyo hali ilinikuta kwa mtoto wangu wa kwanza..ilibd nilazwe akawa anachomwa sindano kila siku kwa muda wa siku nne hivi ...nilipouliza ina madhara gani kwa watoto daktar aknmbia anaweza pata matatizo ya utokwaji damu puani na maskion na vile vile anaweza kuwa slow kwenye ukuaji wake
Mie naomba nikushuru kwa recipe yako ilee kuhusiana nawatoto wasikula maana imemsaida saana mwanangu, amefanikiwa kuongezeka ka kilo wakati miezi miwili iliyofuatana clinic alikuwa anashuka kgsHabari zenu wakuu
Kwa heshima yenu mtoto anapozaliwa asipolia ni nini madhara yake , na pia ni hatua gani za kuchukua kuweza kumsaidia