Tatizo kwisha wakati anakua itakuwa ni kweli kwa sababu kuna dogo mmoja wa kiume nae alikuwa na miaka hiyo hiyo anasoma darasa la3 lakini kuja kufika la5 tatizo lilikwisha kabisa yani mnakua mmekaa mnaangalia tv mara sebule yote hewa ishachafuka anatandikwa wazazi wakijua anafanya makusudi kumbe ni tatizo. Sasa yupo kidato cha3.
Mtoto wangu alikuwa na tatizo hilo na bahat mbaya nlimzaa nje ya ndoa so mama yake alimchukia sana akaniachia akiwa na miaka 4 kwa sababu hiyo cha ajabu nlivyomchukua alipona sa sijui ilikuwaje so kuna ukwel kwamba anavyokuwa tatizo linaweza kuishaTatizo kwisha wakati anakua itakuwa ni kweli kwa sababu kuna dogo mmoja wa kiume nae alikuwa na miaka hiyo hiyo anasoma darasa la3 lakini kuja kufika la5 tatizo lilikwisha kabisa yani mnakua mmekaa mnaangalia tv mara sebule yote hewa ishachafuka anatandikwa wazazi wakijua anafanya makusudi kumbe ni tatizo. Sasa yupo kidato cha3.