Mtoto kutokwa na haja kubwa bila kujijua

Madiba

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
426
Reaction score
252
JF Doctor, madaktari na wanaJF concerned, kuna mtoto aged 7 or 8 amekuwa anatokwa na haja kubwa kiasi kidogo lakini bila kujijua.

Ameisha pelekwa kwa madaktari mara kadhaa, amechukuliwa vipimo vya haja kubwa ambavyo matokeo yake hayaonyeshi tatizo lolote.

Madaktari wamesema kuwa atizo hilo lianisha kadri mtoto anavyokuwa, lakini hainyeshi hivyo.

Naomba ushauri wenu!
 
Tatizo kwisha wakati anakua itakuwa ni kweli kwa sababu kuna dogo mmoja wa kiume nae alikuwa na miaka hiyo hiyo anasoma darasa la3 lakini kuja kufika la5 tatizo lilikwisha kabisa yani mnakua mmekaa mnaangalia tv mara sebule yote hewa ishachafuka anatandikwa wazazi wakijua anafanya makusudi kumbe ni tatizo. Sasa yupo kidato cha3.
 
Ni kweli mnakuwa mmekaa sebuleni then mnasikia harufu cha choo! Mwanzoni tulidhani ni uzembe wake wa kutorush toiet, akawa anafokewa na kuchapwa fimbo, lakini badae madaktari wakatuambia asipewe adhabu kwa sababu haja inatoka bila yeye kujua.
 
Tatizo kwisha wakati anakua itakuwa ni kweli kwa sababu kuna dogo mmoja wa kiume nae alikuwa na miaka hiyo hiyo anasoma darasa la3 lakini kuja kufika la5 tatizo lilikwisha kabisa yani mnakua mmekaa mnaangalia tv mara sebule yote hewa ishachafuka anatandikwa wazazi wakijua anafanya makusudi kumbe ni tatizo. Sasa yupo kidato cha3.
Mtoto wangu alikuwa na tatizo hilo na bahat mbaya nlimzaa nje ya ndoa so mama yake alimchukia sana akaniachia akiwa na miaka 4 kwa sababu hiyo cha ajabu nlivyomchukua alipona sa sijui ilikuwaje so kuna ukwel kwamba anavyokuwa tatizo linaweza kuisha
 
Back
Top Bottom