Habari wana jf,
nina mwanangu alizaliwa sept 2, amekuwa akionyesha hali ya kama anaumwa tumbo kwa kulia lia na wakati mwingine ananyonya halafu anaanza kulia. Wengine wanasema maziwa ya mama yake ni mazito sana kwahiyo hayasagiki vizuri tumboni,kwa hiyo tumpe maji vuguvugu vijiko viwili vidogo angalau mara 2 kwa siku au tumpe mafuta ya samaki.
Naombeni ushauri wa kipi kifanyike though sijaenda hospitali na inasemekana mtoto asipewe chochote mpaka miezi 6 ipite.
Msaada wataalamu.