Mtoto kuumwa tumbo na kutoa haja kubwa yenye chengachenga=msaada wa ushauri

Mtoto kuumwa tumbo na kutoa haja kubwa yenye chengachenga=msaada wa ushauri

HAZOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
1,551
Reaction score
713
Habari wana jf,
nina mwanangu alizaliwa sept 2, amekuwa akionyesha hali ya kama anaumwa tumbo kwa kulia lia na wakati mwingine ananyonya halafu anaanza kulia. Wengine wanasema maziwa ya mama yake ni mazito sana kwahiyo hayasagiki vizuri tumboni,kwa hiyo tumpe maji vuguvugu vijiko viwili vidogo angalau mara 2 kwa siku au tumpe mafuta ya samaki.
Naombeni ushauri wa kipi kifanyike though sijaenda hospitali na inasemekana mtoto asipewe chochote mpaka miezi 6 ipite.

Msaada wataalamu.
 
pole sana.swala kupata choo chenye chengachenga hapina tatizo kama akinyonya analia manake tumbo linamuuma.kuna topic humu tulishaichangia sana inaitwa kusokotwa tumbo mtoto mchanga watu wamechangia sana..ngoja niitafute nikuwekee naona ni same case
 
jamiiforums.com/jf-doctor/724925-msaada-wenu-wandugu-dawa-ya-kusokota-tumbo-kwa-mtoto-mchanga-wa-mwezi-mmoja.html
 
Back
Top Bottom