R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Jan 28, 2018 #1 Rafiki yangu amezaa mtoto bila miguu, naweza kusema kuna vestigial legs. It is as if tibia and fibula bones are vestigial. Kwingine kote yuko vizuri ! Inawezekana ilisababishwa na nini? na katika ukoo hakuna traces za malformations kama hizo!
Rafiki yangu amezaa mtoto bila miguu, naweza kusema kuna vestigial legs. It is as if tibia and fibula bones are vestigial. Kwingine kote yuko vizuri ! Inawezekana ilisababishwa na nini? na katika ukoo hakuna traces za malformations kama hizo!
Titans JF-Expert Member Joined Dec 31, 2010 Posts 1,459 Reaction score 3,369 Jan 28, 2018 #2 Aisee ni changamoto kwa mzazi, niliwahi sikia kuwa magonjwa kama syphilis wakati wa ujauzito yanasababisha ulemavu wa viungo kwa mtoto. Anyway subiri wataalam wanakuja.
Aisee ni changamoto kwa mzazi, niliwahi sikia kuwa magonjwa kama syphilis wakati wa ujauzito yanasababisha ulemavu wa viungo kwa mtoto. Anyway subiri wataalam wanakuja.