Mtoto kuzaliwa hana miguu

Mtoto kuzaliwa hana miguu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Rafiki yangu amezaa mtoto bila miguu, naweza kusema kuna vestigial legs. It is as if tibia and fibula bones are vestigial. Kwingine kote yuko vizuri !

Inawezekana ilisababishwa na nini? na katika ukoo hakuna traces za malformations kama hizo!
 
Aisee ni changamoto kwa mzazi, niliwahi sikia kuwa magonjwa kama syphilis wakati wa ujauzito yanasababisha ulemavu wa viungo kwa mtoto. Anyway subiri wataalam wanakuja.
 
Back
Top Bottom