Mtoto kuzaliwa na kitovu cha kijani

the muter

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
1,347
Reaction score
1,828
Mwaka Jana kuna mdada nilimpatia ujauzito, mimba ilikaa miezi kumi na alipojifungua mtoto alitoka kaishafariki na alikuwa na kitovu cha kijani. Ila kabla hajajifungua walipima mapigo ya moyo mtoto yalikiwa yapo sawa. Nesi anasema labda dada huyo alitumia Dawa za kienyeji au alikula mboga za majani bila kuosha vizuri hivyo akala na chemicals, ila yeye anasema hajawahi kutumia Dawa za kienyeji ila pia binti huyo amekeketwa hilo linaweza kuwa tatizo?
 
Mpwa KWA kaidea kadogo kijani itakuwakakosa oxygen subiri wataalamm usiendehuko unapoelekea kamaunampenda
 
Kama unadk unamjua Pengine ile kamba ya kitovu kilijiviringisha

RIP Baby
 
Yote mungu anapanga,maana hilo tatzo linaelekeana na la kwangu kuna mtaalam hapa aliniambia sku zkzd placenta inaaza kuzeeka nadhan saiz sku zkfka haujajfungua ni heri kuomba drpu la uchungu. pole sana kwa hilo mpe pole na huyo mwanamke mwenzangu aliyeteseka miez yote hyo na kukosa,inauma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…