Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hizo ni imani za kishirikina mkuu.Sawa mkuu lakini walio niambia hivyo ni akina mama ambao wengine wana watoto 5.
Nimependa unavyo jali. You will make a great Dad.asante sana mkuu.
Mkuu kitabibu hicho kitu hakuna.Baada ya kuambiwa hivyo huko kwenye vitenge, nilirudi mtaani kupata maoni kwa akina mama watu wazima lakini nao walisema nguo za njano na maembe sio mazuri. Kwahiyo hizi imani zipo sana mkuu. Hapo mtaani kwako jaribu kufuatilia unaweza kuyakuta haya.
Uhusiano wa maembe na maziwa ukoje…!!Maembe yaliyoiva kwa wamama wengine yanakata maziwa
Hakuna uhusiano. Hicho anachokisema huyo muuzaji aidha ametengeneza yeye kichwani au amewekewa kichwani na wala hakipo nje ya kichwa chake.Habari zenu wakuu.
Mke wangu ana ujauzito wa miezi 7. Juzi tulikwenda kufanya manunuzi ya vitu kama vile vitenge,kanga na baadhi ya vyombo lakini yote ni maandalizi ya kumpokea kijacho.
Tupo kwenye duka la vitenge na kanga wife wakati anachagua alichagua baadhi ya vitenge na kanga zenye rangi ya njano. Muuzaji alikua ni mama mtu mzima(age go) alimwambia wife kua hata mimi ni mama sikushauri mwanangu uchukue hizi nguo zenye rangi ya njano maana utaleta manjano kwa mtoto.
Nilishtuka nikamuuliza mama je hata matunda kama embe nayo yanarangi inayofanana na njano, akasema maembe asile kwa kipindi hiki.
Hapa naomba ushauri na udhoefu wenu juu ya manjano hasa kwenye nguo za njano wakati mama anajifungua na ulaji wa maembe. Maana wife alikua anakula sana maembe ila ameacha juzi baada ya kupewa darasa na huyo mama wa vitenge.
Asante sana mkuu.Dah imani hizi bwana. May be .......hatuwezi kubisha tu maana kwa imani zetu za kidaktari ni vitu tofauti nikipata muda nitafafanua nini kinatokea mwilini mpaka mtoto awe wanjano. Ila lisemwalo lipo hata kama unaona halina proof kisayansi. Mimi japo ni daktari lakini nishawahi kutibiwa pumu na ikapona kwa namna ambayo haina logic lakin nilipona. I respect them
Wife wangu ni pacha tusio fanana.Nimependa unavyo jali. You will make a great Dad.
Mungu akutangulie.
Asante sana mkuu.Mkuu kitabibu hicho kitu hakuna.
Nazungumza kama medical personnel
Mama zetu hasa kwenye mambo ya uzazi ukiona anakuonya juu ya suala fulani, hata kama ukiangalia unaona halina uhusiano, unatakiwa usilipuuzie wameona mengi.Hakuna uhusiano. Hicho anachokisema huyo muuzaji aidha ametengeneza yeye kichwani au amewekewa kichwani na wala hakipo nje ya kichwa chake.
Kuhusu manunuzi ya nguo za mtarajiwa ni vyema manunuzi yafanyike mara mgeni anapowadia, kama ni issue ya fedha ni vyema kuweka hiyo pesa mpaka muda utakapowadia. Ila maandalizi ya khanga na vitenge viwili vitatu ni lazima ila pale siku zinapokuwa jirani.
Maembe yaliyoiva kwa wamama wengine yanakata maziwa
Kwan we dokta,..!?
Uhusiano wa maembe na maziwa ukoje…!!
Kwan mzazi lazima awe dokta?
Mama zetu hasa kwenye mambo ya uzazi ukiona anakuonya juu ya suala fulani, hata kama ukiangalia unaona halina uhusiano, unatakiwa usilipuuzie wameona mengi.