Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
wewe ndo unaetafsiri vibaya,mbona umewaza mabaya na kuyapa tafsiri hiyo? Whats wrong with him holding his mama? Hayo maziwa mbona aliyanyonya na kuyachezea alivyotaka iweje leo yawe forbiden kwake eti hata asimguse?huu ujinga wa kumkumbatia mamayake anamshika hadi matiti ndo nini? Ndo umarekani au? Watu wengi wakienda majuu, wakirudi wanawakumbatia mamazao kama magirlfriend wao ati ndo ukisasa, poleni. Mafanikio sio pesa tu, ni roho takatifu na tabia njema mbele za mungu.
huu ujinga wa kumkumbatia mamayake anamshika hadi matiti ndo nini? ndo umarekani au? watu wengi wakienda majuu, wakirudi wanawakumbatia mamazao kama magirlfriend wao ati ndo ukisasa, poleni. mafanikio sio pesa tu, ni roho takatifu na tabia njema mbele za Mungu.
Yaani wewe nawe! Unawaza ngono tu!! Huna kingine? Unataka kutuambia kijana amemtamani mamaye? Mwombe radhi kijana. Wewe mama yako huwahumkumbatii mnapoonana - tuseme - baada ya siku nyingi? Kumkumbatia mama ni kumtamani? Mbona hata hayo matiti hajayagusa. Na hata akiyagusa kwani yana shida gani kama ndani ya moyo na akili yake hakuna libido na concupiscence? Please, staarabika bana!huu ujinga wa kumkumbatia mamayake anamshika hadi matiti ndo nini? ndo umarekani au? watu wengi wakienda majuu, wakirudi wanawakumbatia mamazao kama magirlfriend wao ati ndo ukisasa, poleni. mafanikio sio pesa tu, ni roho takatifu na tabia njema mbele za Mungu.
huu ujinga wa kumkumbatia mamayake anamshika hadi matiti ndo nini? ndo umarekani au? watu wengi wakienda majuu, wakirudi wanawakumbatia mamazao kama magirlfriend wao ati ndo ukisasa, poleni. mafanikio sio pesa tu, ni roho takatifu na tabia njema mbele za Mungu.
Sijuhi ni macho yangu,au ndo ilivyo...ukiangalia vizuri ni km jaama anachungulia kwa mbali kashata ya manyonyo (japo kajifanya kafumba macho).Alafu km anavuta mafeeling ya kuchomwachomwa na titi la mother....Hapa umarekani umezidi kidogo...
hata mi sioni tatizo,hakuna kama mama,hata ukitaka kumbeba mbebe tu,wala si uzungu ni mapenzi ya mama kwa mtoto.wewe ndo unaetafsiri vibaya,mbona umewaza mabaya na kuyapa tafsiri hiyo? Whats wrong with him holding his mama? Hayo maziwa mbona aliyanyonya na kuyachezea alivyotaka iweje leo yawe forbiden kwake eti hata asimguse?
i am sorry for you nephew/niece!!!
Sijuhi ni macho yangu,au ndo ilivyo...ukiangalia vizuri ni km jaama anachungulia kwa mbali kashata ya manyonyo (japo kajifanya kafumba macho).Alafu km anavuta mafeeling ya kuchomwachomwa na titi la mother....Hapa umarekani umezidi kidogo...
Dogo huu uzungu sasa sio wenyewe.
Sijuhi ni macho yangu,au ndo ilivyo...ukiangalia vizuri ni km jaama anachungulia kwa mbali kashata ya manyonyo (japo kajifanya kafumba macho).Alafu km anavuta mafeeling ya kuchomwachomwa na titi la mother....Hapa umarekani umezidi kidogo...
sijui kijana wa watu akisoma hapo angejisikiaje!Mawazo machafu machafu kama hayo hutolewa na watu wachafu wachafu.