Mtoto kwa mama hakui - Hashim Thabit

Mtoto kwa mama hakui - Hashim Thabit

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Waambiwa hakuna mtu kama mama @!!!...
_DSC4600.jpg

bimkubwamamahasheem.jpg

Hasheem thabeet anasema: "I love my mama, man... Mama is everything you ever wanted. It doesn't matter how rich and success I am, my mom is my number 1 (One)treasure! "

mapenzi+kwa+mama.jpg

Pichani Mchezaji wa NBA Memphis Grizzlies Hasheem chini akiwa namdogo wake Akbar Thabeet ,
wakideka na kumuonyesha upendo (bi mkubwa) mama yao.
mamaht.jpg
 
huu ujinga wa kumkumbatia mamayake anamshika hadi matiti ndo nini? ndo umarekani au? watu wengi wakienda majuu, wakirudi wanawakumbatia mamazao kama magirlfriend wao ati ndo ukisasa, poleni. mafanikio sio pesa tu, ni roho takatifu na tabia njema mbele za Mungu.
 
huu ujinga wa kumkumbatia mamayake anamshika hadi matiti ndo nini? Ndo umarekani au? Watu wengi wakienda majuu, wakirudi wanawakumbatia mamazao kama magirlfriend wao ati ndo ukisasa, poleni. Mafanikio sio pesa tu, ni roho takatifu na tabia njema mbele za mungu.
wewe ndo unaetafsiri vibaya,mbona umewaza mabaya na kuyapa tafsiri hiyo? Whats wrong with him holding his mama? Hayo maziwa mbona aliyanyonya na kuyachezea alivyotaka iweje leo yawe forbiden kwake eti hata asimguse?
 
huu ujinga wa kumkumbatia mamayake anamshika hadi matiti ndo nini? ndo umarekani au? watu wengi wakienda majuu, wakirudi wanawakumbatia mamazao kama magirlfriend wao ati ndo ukisasa, poleni. mafanikio sio pesa tu, ni roho takatifu na tabia njema mbele za Mungu.

Huyu ni Al-Mujahidina wa Kikristo anaonekana.

WTF son?

Can a brother live? Kama vipi nenda Afghanistan kwenye Watalibani huko, nini kukumbatia, hata kuwaona tu wanawake tatizo.
 
Yaani wanavofanana! Huhitaji kuuliza. Hongera mama jonome, una haki maana umembeba toka tumboni mwako, ukamnypnyesha, ukamkuza, nk. Una haki ya kufurahia mafanikio yake.
 
mapenzi+kwa+mama.jpg

Sijuhi ni macho yangu,au ndo ilivyo...ukiangalia vizuri ni km jaama anachungulia kwa mbali kashata ya manyonyo (japo kajifanya kafumba macho).Alafu km anavuta mafeeling ya kuchomwachomwa na titi la mother....Hapa umarekani umezidi kidogo...
 
huu ujinga wa kumkumbatia mamayake anamshika hadi matiti ndo nini? ndo umarekani au? watu wengi wakienda majuu, wakirudi wanawakumbatia mamazao kama magirlfriend wao ati ndo ukisasa, poleni. mafanikio sio pesa tu, ni roho takatifu na tabia njema mbele za Mungu.
Yaani wewe nawe! Unawaza ngono tu!! Huna kingine? Unataka kutuambia kijana amemtamani mamaye? Mwombe radhi kijana. Wewe mama yako huwahumkumbatii mnapoonana - tuseme - baada ya siku nyingi? Kumkumbatia mama ni kumtamani? Mbona hata hayo matiti hajayagusa. Na hata akiyagusa kwani yana shida gani kama ndani ya moyo na akili yake hakuna libido na concupiscence? Please, staarabika bana!
 
huu ujinga wa kumkumbatia mamayake anamshika hadi matiti ndo nini? ndo umarekani au? watu wengi wakienda majuu, wakirudi wanawakumbatia mamazao kama magirlfriend wao ati ndo ukisasa, poleni. mafanikio sio pesa tu, ni roho takatifu na tabia njema mbele za Mungu.

Mbona maziwa ya mama ni kitu halali kabisa kwa mtoto wewe ujinga unao uona hapa ni upi?
 
mapenzi+kwa+mama.jpg

Sijuhi ni macho yangu,au ndo ilivyo...ukiangalia vizuri ni km jaama anachungulia kwa mbali kashata ya manyonyo (japo kajifanya kafumba macho).Alafu km anavuta mafeeling ya kuchomwachomwa na titi la mother....Hapa umarekani umezidi kidogo...

Na haya ni mawazo ya wazinzi!!sasa hizo njaa zenu zimezidi,mnatamani hata mama zenu,kweli ujinga ni tabia!!
 
wewe ndo unaetafsiri vibaya,mbona umewaza mabaya na kuyapa tafsiri hiyo? Whats wrong with him holding his mama? Hayo maziwa mbona aliyanyonya na kuyachezea alivyotaka iweje leo yawe forbiden kwake eti hata asimguse?
hata mi sioni tatizo,hakuna kama mama,hata ukitaka kumbeba mbebe tu,wala si uzungu ni mapenzi ya mama kwa mtoto.
 
mapenzi+kwa+mama.jpg

Sijuhi ni macho yangu,au ndo ilivyo...ukiangalia vizuri ni km jaama anachungulia kwa mbali kashata ya manyonyo (japo kajifanya kafumba macho).Alafu km anavuta mafeeling ya kuchomwachomwa na titi la mother....Hapa umarekani umezidi kidogo...
i am sorry for you nephew/niece!!!

Mawazo machafu huzaa nafsi chafu ... ni kutokana na uchafu huo ndio dunia nayo inaingia najisi

Muache hasimu na mama yake waishi wapendavyo... he is lucky so let him enjoy this chance of expressing his love for hism mom!! siajabu hata baba yake angekuwepo angefanya hivyohivyo

Guys please...
 
Ni mama yake jamani mwacheni, kwenye tumbo lake ametoka! Matiti yake kanyonya, watoto wengine huyanyonya na kuyauma, wanayapiga kabisa, na wanabaki kuwa mama zao.
 
mapenzi+kwa+mama.jpg

Sijuhi ni macho yangu,au ndo ilivyo...ukiangalia vizuri ni km jaama anachungulia kwa mbali kashata ya manyonyo (japo kajifanya kafumba macho).Alafu km anavuta mafeeling ya kuchomwachomwa na titi la mother....Hapa umarekani umezidi kidogo...

Mawazo machafu machafu kama hayo hutolewa na watu wachafu wachafu.
 
Back
Top Bottom