Mtoto mchanga ameokotwa Madale

Mtoto mchanga ameokotwa Madale

Kindeena

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2017
Posts
11,462
Reaction score
21,124
Mtoto mchanga ameokotwa leo alfajiri, Novemba 02, 2022 akiwa hai, baada ya kutupwa katika maeneo ya Madale.

Mtoto huyo anayedhaniwa kuzaliwa muda mfupi kabla ya kutupwa, amefikishwa kwenye zahanati ya Madale kwa matibabu zaidi.

mtoto.PNG

Chanzo: ITV
 
Back
Top Bottom