Salama wadau?
Mtoto wangu wa Miezi 11 na majuma mawili siku Kama Tano zilizopita alipandisha joto Sana nikamkimbiza Hospitali, tulifanikiwa kumpima damu na kukutwa na Malaria 7. Hadi hapo tayari alikuwa akiarisha, sometimes anaharisha maji ya kijani, saa nyingine uharo mzito kidogo wenye makamasi. Amemaliza dose Yake ya Sindano ya Malaria, tukampima choo, majibu yakatoka kuwa ana vijidudu vya Ameba.
Dakrari akashauri tuendelee na dawa zilezile alizompa Mara ya kwanza tuliponwambia kuwa pia anaharisha. Alipewa vidonge vya Zinc, pamoja na Franigyli! Bado kuharisha kuko palepale, naombeni kujua yafuatayo:
1. Uwezekano wa mtoto mdogo kupata Ameba na sababu zake.
2. Dawa, ikiwezekana Tiba mbadala za Ameba kwa mtoto wa umri huu.
3. Tumepata binti wa kazi (licha ya mke wangu kumsisitiza usafi, bado. Pia hapendi mtoto, hii imenifanya niwaze, sii Ajabu Kuna kitu kibaya kampa maana niliwahi kusikia wapo mabinti wa kazi hawapendi watoto wa mabosi wao hivyo kuwapa damu ya hedhi ili mtoto afe, je hii Haina dawa?) Huyu Sina imani nae kwenye usafi, nimekataza asihusike kwa namna yoyote na Mtoto, lakini pia nataka aondoke!
Msaada wenu wadau, mwanangu anateseka Sana kwani hata kula Ni shida, dawa ndo kabisaaa!
NATANGULIZA SHUKRANI kwenu!