mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
Zitaota usijali Kisogoni kutokuwa na nywele ni kawaida kwa watoto wengi na wengine unakuta hata upande mmoja hana nywele kwasababu ni upande mtoto anaolalia na mtoto analala sana...wangu mimi alikuwa hana nywele utosini mpaka akiwa na miaka 2 ndo mashahari yakaja kwa spidi...
Usiwe na wasiwasi kadri atakavyokuwa na ndipo zitakapoota sio matatizo hayo ni kawaida tu.Ndugu
kuna kakijana kangu kana miezi 7 sasa...aliwahi kunyolewa mara moja tu tangu amezaliwa akiwa na kama mwezi mmoja baada ya apo ukuaji wa nywele umekua wa kusuasua sana....kwa sasa zimeota ila sio za kutosha na sio nyingi na hazijaota kisogoni na nyuma karibu na shingoni...naomba msaada je hili ni tatizo au ni kawaida?mtoto haumwi yupo sawwa.. MziziMkavu saidia.