MILCAH28 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2014 Posts 1,140 Reaction score 327 Aug 16, 2014 #1 Mtoto wa miezi 3 1/2 anakohowaa....nimpe dawa gani
Mkuu wa chuo JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 7,620 Reaction score 5,335 Aug 16, 2014 #2 Mpeleke hospital kwanza ukaonane na Doctor
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,893 Aug 17, 2014 #3 MILCAH28 said: Mtoto wa miezi 3 1/2 anakohowaa....nimpe dawa gani Click to expand... Inaonekana hauko serious!mtoto mdogo sana huyo kweli unategemea kuambiwa dawa ya kumpa mwanao hapa? Hebu kuwa makini mpeleke hospitali!
MILCAH28 said: Mtoto wa miezi 3 1/2 anakohowaa....nimpe dawa gani Click to expand... Inaonekana hauko serious!mtoto mdogo sana huyo kweli unategemea kuambiwa dawa ya kumpa mwanao hapa? Hebu kuwa makini mpeleke hospitali!
MILCAH28 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2014 Posts 1,140 Reaction score 327 Aug 18, 2014 Thread starter #4 kalagabaho said: Inaonekana hauko serious!mtoto mdogo sana huyo kweli unategemea kuambiwa dawa ya kumpa mwanao hapa? Hebu kuwa makini mpeleke hospitali! Click to expand... Inahuuuu..
kalagabaho said: Inaonekana hauko serious!mtoto mdogo sana huyo kweli unategemea kuambiwa dawa ya kumpa mwanao hapa? Hebu kuwa makini mpeleke hospitali! Click to expand... Inahuuuu..
Ligogoma JF-Expert Member Joined Aug 27, 2010 Posts 3,503 Reaction score 6,415 Aug 18, 2014 #5 kalagabaho said: Inaonekana hauko serious!mtoto mdogo sana huyo kweli unategemea kuambiwa dawa ya kumpa mwanao hapa? Hebu kuwa makini mpeleke hospitali! Click to expand... Wazazi wa dot com hawa, kila kitu kwenye mtandao kufikirisha akili haiwahusu!!
kalagabaho said: Inaonekana hauko serious!mtoto mdogo sana huyo kweli unategemea kuambiwa dawa ya kumpa mwanao hapa? Hebu kuwa makini mpeleke hospitali! Click to expand... Wazazi wa dot com hawa, kila kitu kwenye mtandao kufikirisha akili haiwahusu!!
Prishaz JF-Expert Member Joined Nov 18, 2011 Posts 2,898 Reaction score 5,020 Aug 18, 2014 #6 MILCAH28 said: Inahuuuu.. Click to expand... unaambiwa ukweli halafu unasema inahuu! Hauko serious :nono:
MILCAH28 said: Inahuuuu.. Click to expand... unaambiwa ukweli halafu unasema inahuu! Hauko serious :nono:
MILCAH28 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2014 Posts 1,140 Reaction score 327 Aug 25, 2014 Thread starter #7 Prishaz said: unaambiwa ukweli halafu unasema inahuu! Hauko serious :nono: Click to expand... Kha khaa Kamepona kwa jina la Yesu
Prishaz said: unaambiwa ukweli halafu unasema inahuu! Hauko serious :nono: Click to expand... Kha khaa Kamepona kwa jina la Yesu