Mtoto mdogo

Mtoto mdogo

MILCAH28

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
1,140
Reaction score
327
Mtoto wa miezi 3 1/2 anakohowaa....nimpe dawa gani
 
Inaonekana hauko serious!mtoto mdogo sana huyo kweli unategemea kuambiwa dawa ya kumpa mwanao hapa? Hebu kuwa makini mpeleke hospitali!

Wazazi wa dot com hawa, kila kitu kwenye mtandao kufikirisha akili haiwahusu!!
 
Back
Top Bottom