siwezi kusema kuwa ni fupi sana ila siyo refu. up to now, nimeshairejea zaidi ya mara moja kuisoma coz haichoshi
pole kwa kupoteza mama yako mpenzi. ubarikiwe sana muhosni kwa jinsi unavyowathamini kinamama wote kwa heshima ya amamko uliyempenda. damu na nyama havikukufunulia haya ila baba yetu aliye mbinguni.
Glory to God
mh, tunatofautiana kimtazamo. mi bado naiona fupi kwa uzuri wake
mh, tunatofautiana kimtazamo. mi bado naiona fupi kwa uzuri wake
Mkuu acha bana, hii ina urefu gani jamani??!!!!!!!!! Imetulia sana, dedication to all women who suffer for the sake of their children especially in rural areas.
Kudos kamanda.
asante mkuu, i hope you find your place in the story. there must be something you can tell about your mother, please share
Nyerere alitoa matibabu bure kwa watanzania miliono 25, alitoa elimu bure kwa wote waliotaka bila upendeleo, kulikuwa na ajira za kutosha kuanzia asie na elimu hadi mwenye elimu ya juu, wanaume waliokuwa wanawaonea wanawake walishitakiwa kwa mjumbe wa nyumba kumi au ofisi ya ccm. Nyerere alipigania uhuru wa Afrika kwa maslahi ya wanawake na watoto ambao walikuwa wanateseka zaidi.
Nyerere alikubali kuingia gharama kubwa kumtoa IDDI AMINI ambaye alivamia inchi yete na askari wake na kuwabaki wanawake wa Kitanzania. Mwanamke wa sasa ana dhiki kuliko wakati wa Nyerere. Kila kitu kipo lakini hawezi kununua. wakati wa Nyerere vitu vilikuwa vichache lakini alikuwa anauwezo wa kununua. Wanawake wa mijini wanahangaika mchana kutwa kupanga mbogamboga barabarani ili waweze kupata kipato cha kujikimu, wale wa vijijini ndiyo dhiki kabisa.
WANAWAKE PAMOJA NA MAMA YANGU ALIYEZAA WATOTO 12 NA KUWALEA BILA MFANYAKAZI WA NDANI NAWAOMBEA KWA MUNGU AWAJALIE UNAFUU WA MAISHA.
Nimekuwa wapi sijaona hii thread? thank you Muhosni....this makes us proud to be women..... and encourages us to keep loving and doing the best we can even when the circumstances are difficult.....!!! You made my day!!
Thanks Michelle,
my effort today was to try and make this day to discuss the courage and endurance of African women instead of simply celebrations. Wanawake wa mijini wana haki nyingi zaidi kuliko wa vijijini.
Ukweli ni kwamba wale kina mama wa vijijini ama hawajui kama kuna women's day au hawana hata muda na sababu ya kusherekea
nani anawakumbuka?
imenigusa mno, nimejizuia tu kulia kwani nikianza kumjumlisha mama yangu hapa, nobody will stop my tears from falling.
I LOVE YOU MAMA AND ALWAYS WILL.
You are so right, na huko vijijini ndo kwenye matatizo makubwa....!!thank you!