Mtoto miaka9 pingili za mgongo zimenyooka

Pole sana mkuu....

Hiyo huitwa LUMBAR MUSCLE SPASMS... Ni kakaza kwa misuli ya mgongo hivyo kupelekea kukandamiza mishipa ya fahamu na ndo maana umepewa dawa za Nuero na kuchua

Ila mi nakushauri mpeleke kijana akafanye mazoezi-tiba (Physiotherapy)

Watamsaidia kufanya misuli ikae sawa, wao wanajua zaidi

Ule uliopewa ni ushauri na sio masharti... Ukisema masharti imekaa kiganga zaidi
 
Hili tatizo changamoto sana, linamtesa mtoto wa ndugu yangu, yeye hadi anapoteza fahamu baada ya muda ndio anazinduka.
Mkuu mtoto wa ndugu Yako tatizo lilitokana na nin na vip matibabu yake anafanyia wapi
 
Kukaza kwa misuli ya mgongo kunatokana na nin
 
Loss of lordosis inasababishwa na nin
 
Mkuu nikimpeleka moi ndo nionane na daktar wa mfumo wa fahamu Neuro ama
 
Kukaza kwa misuli ya mgongo kunatokana na nin
Watu wengi kwa sasa tuna ukaaji usiofaa, tunakalia kiuno na sio makalio tena

Pili ni vitunavyokalia, vinaweza visiwe rafiki kwa migongo yetu

Tatu ni kukaa kwa muda mrefu... watoto wetu wanakaa kwenye viti saa mbili hadi saa 10 au zaidi

Nne ni magodoro tunayolalia yanaweza kuchangia pia

Tano, ni namna tunavyoinama kunyanyua vitu, hasa vitu vizito

Yale "Masharti" uliyopewa ndizo sababu za matatizo ya misuli ya mgongo kukaza
 
Mkuu hiyo baclofen inatokana na nin
 
Je tatizo la mtoto wangu linatobika,maana amepata changamoto akiwa bweni shule na pia masomo wanaanza saa kumi na mbili asubuh Hadi saa tatu usiku,nashule walikua wakibebeshwa maji ndo yaa Lita kumi asubuh na jioni
 
Sababu ziko nyingi na Ndo maana Nimekushauri Uende kufanya MRI na Zaidi uende Hsopitali MOI
Nashukuru sana mkuu kwa ushauri acha niombe ruhusu shule mtoto nimepeleke hospital maana Yuko darasa la nne la mitahani
 
Ukifika MOI nenda Omba Kuonana na Daktari wa Mishipa ya Fahamu na Ubongo na Pia Daktari wa Mifupa
Hapa nimekuelewa boss..kwaiyo dawa ya baclofen naweza inunua mtoto akaitumia uku nikisubiria kwenda moi
 
hapa mtatoa comment zote
Ila jambo kubwa.chanzo cha hiyo shida ni mabegi wanabeba kwenda shule
Mtoto wa miaka 10 ni darasa la 4 ama la 5
Unakuta kwnye bagi ana conter za masomo kama 7.counter za masomo ya ziada homework 5
Ukiangalia anabeba hiko begi muda mrefu ndo shida zinaanzia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…