Mtoto miaka9 pingili za mgongo zimenyooka

Mpeleke akaogelee kwenye swimming pool awe anaogelea ndani ya wiki Moja mfululizo asubuhi na jioni ila awe namtu wakumsaidia kwenye Hilo zoezi
Yaani afanye zoezi za kuogelea Kweli Kweli naamini atapona
 

Kama upo Dar nenda Magomeni Mapipa ukishuka kituoni ulizia Hospital ya Mifupa iliopo karibu na shule ya Mzimuni, usisahau kubeba X-ray ya mtoto, maana huyo Daktari anatizama X-ray ndio anakupaka Dawa na kukuchua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…