Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
Wajumbe heshima kwenu, let me declare my interest sio mtu wa kupenda totoz za mtandaon juzi kati kuna manzi moja nilikutana nayo mtandaon FB (old is good) ni wa moto sana yaani picha alizokuwa anapost huwezi ukamuangalia kwa nusu dk, lazima ale muda wako kidogo, baada ya kuzama na mwonekane wake ikabid nijisogeze inbox, manzi ikanielewa tukawa so close like bby i miss you nyingi tu, love you too za kumwaga, whattsap chat na video call kama kawa within a month, shida tulishndwa kukutana kwa wakati kwa sababu tupo mikoa tofauti
lakini tulikuwa mbioni.
Kwa muda kama wa siku mbili hv nikawa nimeenda bush sana killage cha ndani ndani , hvyo sikuwa na acces ya mtandao ile na rudi mtandaoni nakuta manzi kapost kwa page yake kuwa anauza dawa ya kuongeza nguvu za kiume na kunenepesha uume honestly sio kwamba niliduwaa tu bali pia nguvu ziliniishia na mpaka sasa hapa nilipo nguvu zimeniishia toka asubuh ananitext na kunipigia nashndwa hata kupokea na kujibu sms yake nina maswali meng ambayo sijayapatia majibu msaada wenu wajumbe