Mtoto mtamu lady Furahia anatafutwa na Kijana Mathematics

Mtoto mtamu lady Furahia anatafutwa na Kijana Mathematics

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Wakuu,

Chachu Ombara alikuwa ananiulizia kama online namuona Madame B . Mara sijakaa sawa nikapokea Ujumbe wa mathematics akimuulizia ladyfurahia. Kwamba amemiss mambo na kelele nyingi.

Nikasema ngoja nitumie nafasi kutafuta mke. Nipendeni jamani, mi single father.

Ila usiku wa jana ilikuwa aibu, jana nimedhalilika mimi.

Naomba kupendwa jamani wakina nanii.. Njooni

Mia
 
Back
Top Bottom