Mtoto mwenye miguu upande

Mtoto mwenye miguu upande

Wa nyamadyaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
1,178
Reaction score
529
Habari waungwana,
Ninatatizo nimeanza kuliona kwa mwanangu ambaye anajifunza kutembea kila anaposimama miguu yake inakaa upande na awi stable. Nilitaka kujua je ili ni tatizo au ni kawaida, na kama ni tatizo naomba nijue nitaanzia wapi kwenye tiba ili kufanikikiwa
Asante.
 
Attachments

  • 1391318359183.jpg
    1391318359183.jpg
    79.4 KB · Views: 238
Karibu ccbrt kwa wataalum wa maswala hayo ili wamtazame kuona kama kunatatizo.Je anaonyesha kama anaumia au anasikia maumivu?
 
Haonyeshi kusikia maumivu maana akisimama uwa anacheza kama kawaida.
 
Karibu ccbrt kwa wataalum wa maswala hayo ili wamtazame kuona kama kunatatizo.Je anaonyesha kama anaumia au anasikia maumivu?

Mkuu nakumbuka mwaka 2001 nikiwa hapo Dar kuna Mzee wangu alikuwa anasumbuliwa sana na macho pia umri wake ulikuwa mkubwa sana.

Nilimshauri kuhusu CCBRT kwaujumla hakunipuuza alikwenda baada ya vipimo Dr akasema tatizo lake linaufumbuzi pale

Akapewa siku ya kurudi kwaajili ya tiba alinishukuru sana maana alikuwa anaishi Dar lakini hata Hosp ilipo alikuwa hajui.

Sijui ikiwa yupo hai ama laa! Maana tulipotezana muda kama miaka 7

Kuhusu mtoto huyo aende pale Ccbrt tu
 
Nimekupata mkuu ccbrt naijua nitafanyia kazi ila mimi mwenyewe nilikuwa nahisi kabda miguu haijatengemaa vizur but kila kukicha naona alihishi ndo nimeanza kuwa na waswas inawezekana ni tatizo.
 
Sio vibaya ikiwa utakwenda Hosp halafu mtoto atakapochunguzwa huenda huo wasiwasi ukakutoka kwa majibu utakayopewa pia unafanya vizuri maana mtoto mdogo tegemeo lake ni wazazi wakati wote wa ukuaji wake
.
 
Asante mkuu
tuko pamoja.
 
Back
Top Bottom