aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,175
- 16,488
Binafsi nikiwa mdogo siku zile nilikuwa namsikia mama akiimba sana nyimbo za huyu Binti Alicios. Mama yangu alipenda sana kuimba hasa nyimbo mbili za huyo Binti, ule uitwao Mpita njia, alioshirikiana na Mwanamama Juliana Kanyomozi na ule wa Posa ya Bolingo!
Huo ndio ulikuwa mwanzo wa mimi kumpenda Alicios, mpaka leo bado nampenda sana Alicios,
nikisikia sauti yake ni kama namuona mama yangu.
Sasa hapa nauliza ili nitambue mtoto mzuri Alicios yuko wapi na anafanya nini siku hizi?
Je, ameshaolewa au bado na ana watoto? Pia maisha yake yamekaa mkao gani, maana mara ya mwisho kumuona alikuwa so natural, anatia sana hamasa huyu dada.