Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
MTOTO NI LAANA AU BARAKA UAMUZI NI WAKO!
Kuna mwanaume ukibeba mimba yake anaamini kuwa kahakuharibu, kwamba huwezi kupata mwanaume mwingine wakukuoa hivyo hata akufanyie vituko namna gani utavumilia. Anaanza kukuona kama takataka na si Mama.
Anakuona kama vile mjinga huwezi kuishi bila yeye, anasahaa kitu kimoja, mtoto ni Baraka, uamuzi ni wako, kumtumia kama Baraka au kumtumia kama laana. Kama ukimuona mwanao kama Baraka basi wewe mwanamke ndiyo utakua umezipata na mwanaume aliyekutelekeza ndiyo ataondokewa na Baraka.
Hivyo hivyo, kama ukimuona mtoto wako kama laana basi utabaki na laana yako na mwanaume aliyekutelekeza ndiyo ataondokewa na hiyo laana. Niamini nikikuambia, hakuna kitu kitamtesa Baba wa mtoto wako kama akuache halafu uwe bize na maisha yako mpaka kufanikiwa.
Atateseka kiasi kwamba hata huyo mwanamke mwingine ambaye atakua naye itakua ni ngumu kuwa na furaha. Kila siku atamtaja X wake, kila kitu itakua ni ugomvi kwakua tu wewe umeamua kuondoka na Baraka zake na si laana yake. Sasa uamuzi ni wako, mwanao kuwa Baraka au kuwa laana.