OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wizo una ban?
Hamna bana ππππ nimeamua kuja kivingine ππWizo una ban?
STIVE NYERERE YUPO NA WASANII KUPANGA MAPAOKEZI NA RAMBIRAMBI SI UNAJUA MPENZI WA MICHANGOMsechu yuko studio
Usera wakizamani unatishia kizamaniNi uzushi tu kuweni na amani nime ongea nae leo asubuh tu. .lakini jiandae kisaikolojia kijana wa Hai ana rudi mjinii soon π¨π¨
Msumbufu wewe πΉHamna bana ππππ nimeamua kuja kivingine ππ
Leo vitengo mpo kasi na aina flani ya nyuzi.. mnafanya gathering ya information niniWizo una ban?
Penye Chatu weka ChatleHii code ngumu Sana kufungua