Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?

Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.

Britanicca.
Ila kibongo bongo huyu jamaa ni kiongozi safi sana sana, ni mkosaji sawa ila anamaamuzi tunahitaj viongozi wa nama hii ilk nchi iweze kusonga
 
Aulizwe Mwamposa si ndio rafiki yake huwa hata mashindano ya pikipiki wanakagua pamoja umakini wa njia zitakazotumiwa!
Wafuasi wa Mwamposa wako wengi humu wana namba yake ile wanatumia hela watueleze!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…