It is a gift. Harness it and use it for the benefit and glory of the giver. There will be a tomorrow for you. If you surrender it to the Giver it can save manyMimi ile ndoto ilikua dhahiri kama maono kabisa
Yaani nimeona hii post nikakumbuka
Pia ilionekana kazidiwa sanaaa
Yaani labda isiwe ni yeye lakini hata kama sio yeye
Yabid awe makini mnoo
Mi naotaga mtu flani may be kaumia
Na kweli kesho anaumia na hii ipo kwetu hata mama ana maono sana
Sumu inaweza ikaanza kufanya kazi hata baada ya wiki au ikikiwa exposed kwenye mazingira fulani, ila kwa Bashite hakuma sumu ni uzushi tu unatengenezwa na watu wa system wenyewe, maana lengo lao ni kuzidi kumjenga BashiteHivi sumu ikupige siku zaidi ya kumi sasa! Pia kama sumu alipewa na yule Baba Mtumishi mbona kesho baada ya siku mbili ndo alikabidhi zawadi ya pikipiki ya dereva alopata ajali!
Mahesabu yanagoma how comes upewe sumu siku ile halafu uje uugue siku tatu baadae!
Upelekwe South Africa kutokea Arusha kwenda KIA hakuna taarifa hata za ushahidi kiasi maana Mkuu wa Mkoa hana ulinzi kama wa Rais au Waziri Mkuu!
Jamaa yuko sehemu na kaona watu wameongelewa kupewa sumu naye anatumia nafasi hiyo kuwafanya maadui zake kuona kuwa jamaa Mwamba licha ya Sumu lakini hawajamuweza!
Ila lisemwalo lipo! Ila kwa sasa naamini huu ni uzushi wa hali ya juu!Sumu imaweza ikaanza kufanya kazi hata baada ya wiki au ikikiwa exposed kwenye mazingira fulani, ila kwa Bashite hakuma sumu ni uzushi tu unatengenezwa na watu wa system wenyewe, maana lengo lao ni kuzidi kumjenga Bashite
Najiuliza maswali mengi sana na wala sina majibuIt is a gift. Harness it and use it for the benefit and glory of the giver. There will be a tomorrow for you. If you surrender it to the Giver it can save many
Uongo huu. Mnalazimisha trends tu.
Weka ukweli basi ili tuache uwongoUongo huu. Mnalazimisha trends tu.
Yahani mtu alishwe taarifa za Mkurugenzi wa TISS kuondolewa na nani atateuliwa kama maandalizi ya issue ya Makonda kujipoteza na kupatikana ili aongeze umaarufu?.Inawezekana pia akawa ameandaliwa kulishwa hizo taarifa kimkakati ili muweze kumuamini, halafu baadaye alete taarifa kama hii halafu wote mjae mazima halafu mtu yule (Bashite) aibuliwe kivingine na kishujaa ili kuzifanya akili zenu zianze kumuona mtu huyo aliyevumishiwa kulishwa sumu kama mungu mdogo na shujaa na kwa akili za watanzania huo ndiyo mchezo ninauona mnachezewa hapa. Itunze hii post yangu
Andika Kiswahili tu, Kingereza hujuwi.
Hskuns dhulr inayoweza kushindana na madrassa kwa Kiswahili. Nimeanza kukiandika Kiswahili kwa herufi zake za asili, Kiarabu.
Kumbe Ujinga umesomea kabisa🤔
ChaiYahani mtu alishwe taarifa za Mkurugenzi wa TISS kuondolewa na nani atateuliwa kama maandalizi ya issue ya Makonda kujipoteza na kupatikana ili aongeze umaarufu?.
Mfuatilie sana Britanicca utaona jamaa kupigwa sumu bado anapambana.
wadudu wa arusha wamemgeuka,aliwakumbatia kumbe walikuwa wanamlia timing tu wamuelekeze kiblaKwani wa arusha wanasemaje,haonikani ofisini?
Likizo ya muda gani?Yupo likizo kaenda south africa na sasa yupo dubai ila akimaliza likizo atarudi
Hopeless kabisa wewe! Au na wewe umeshiriki kumuwekea sumu? Maana sioni chadema imeingiaje hapa.Chadema mnaangalia CCM tu, nyie huko kwenu dictator Mbowe mmiliki wa Chadema, mko nae kama hayuko Chadema, hakuna demokrasia wala uhuru wowote, upigaji, rushwa kibaooo, ila mimacho mnatolea CCM, nyie Chadema jitoeni boriti katika macho yenu kwanza..!!
Habari nzuri sana hii
Kazi ya kuhukumu ingekuwa ya mola kusingekuwa na mahakama.I understand your point of view.
Lakini kazi ya kuhukumu ni ya mola sio ya kwetu.
Na mbaya zaidi hayo unayosema yalitekelezwa kwa baraka za mamlaka na huyo jamaa alitumika tu.
Chadema inahusika vipi na udhalimu wenu wa kulishana sumu huko CCM? Mtamalizana sana hadi kufikia 2025.Chadema mnaangalia CCM tu, nyie huko kwenu dictator Mbowe mmiliki wa Chadema, mko nae kama hayuko Chadema, hakuna demokrasia wala uhuru wowote, upigaji, rushwa kibaooo, ila mimacho mnatolea CCM, nyie Chadema jitoeni boriti katika macho yenu kwanza..!!
Anacheka badala ya kufanya kazi na wakati analipwa mshahara kwa kodi zetu?Huko alipo anatucheka tu
Ova